Picha Xxxx Mpya

May 14, 2015  Siku chache zikiwa zimepita tangu picha ambayo ilimuonyesha msanii Shilole kuwa wazi baadhi ya sehemu zake za juu akiwa stejini nchi ya Ubeligiji,Mei 14 Baraza la sanaa Tanzania (Basata) wameamua kutoa taarifa yao ambayo imetolewa na Katibu Mkuu Godfrey Mngereza,mtu wako wa nguvu barua hiyo imenifikia naomba kushare na wewe.

Picha Xxxx Mpya

Muigizaji wa Bongo movie Wema Sepetu amerudi tena kwenye vichwa vya habari huko kwenye mitandao ya kijamii kwani amekuwa akitrend tangu Jana usiku yote kwa sababu ya picha mpya.

Wema ametupia picha hizo na video alizopiga kwa ajili ya fashion line inayoitwa Mac Couture ambayo Wema amefanya kazi ya kuwatangazia magauni yao.

Baada ya picha hizo kusambaa Wema aligeuka kivutio kutokana na jinsi lile gauni lilivyomtoa na kupelekea kila mtu kuweka neno lake juu ya vazi hilo.

Political theory book by rajeev bhargava pdf free download. Hizi ni baadhi ya picha na video zilizozua makubwa huko Instagram:

Xxxx

inEntertainment

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.

Msanii Barnaba Azimia Akimuaga Ruge (Picha)

March 5, 2019